Wadhamini

Kikundi cha Safal (Safal Group) – Mabati

SAFALMRM logo October 2014

Mabati ni tawi la Kikundi cha Safal inayotengeza mabati katika nchi 11 na kuongoza bara Afrika katika kutengeza bidhaa za paa za nyumba. Bidhaa aina mzo za paa zinauzwa kwa pamoja na kupatikana kutoka asili inayoaminika.

Ofisi ya Makamu wa Provost wa Masuala ya Kimataifa – Chuo Kikuu cha Cornell

VP intl affairs

Ofisi ya Makamu wa Provost wa Masuala ya Kimataifa kwenye Chuo Kikuu cha Cornell inaongoza na kusimimamia juhudi za kuzidisha umataifa Cornell. Lengo lake ni kushirikiana na shule, vyuo vukuu na vituo vinavyoendeleza, wezesha na kutekeleza mipango yanayohusiana na umataifa wa Cornell. Ofisi hii itaisaidia baraza jipya la kuimarisha umataifa itakayoongozwa na makamu wa provost.

Idara ya Masomo na Utafiti ya Afrikana – Chuo Kikuu cha Cornell

ad for Ph.D. cc 2

Idara ya Masomo na Utafiti ya Afrikana hunufaisha mazingira ya kielimu, kitamaduni na kijamii kwenye Chuo Kikuu cha Cornell Ithaca.

Wachapishaji wa Kielimu wa Afrika Mashariki (East African Educational Publisher/EAEP)

Wachapishaji wa Kielimu wa Afrika Mashariki ni mojawapo ya wachapishaji wakuu. EAEP inajitahidi kulinganisha azma zinazoonekana kutosikizana: kuchapisha kazi za hadhi ya juu zinazogusia masuala ya kijamii, kitamaduni na kiuchumi ya jamii na kufaulu kama biashara iliyo tayari kupambana na ukweli na misukosuko ya teknolojia.

Akiba ya Afrika ya Ushairi (Africa Poetry Book Fund)

Akiba ya Afrika ya Ushairi inaimarisha na kuendeleza maendeleo na uchaposhaji wa sanaa za kishairi kupitia vitabu vyake, mashindano, warsha na semina pamoja na kwa kushiriki na wachapishaji, tamasha, maajenti, vyuo, vyuo vikuu, mikutano na vikundi vingine vinavyohusika na ushairi Afrika.

Skip to toolbar