Washindi wa mwaka 2018 ni

Zainab Alwi Baharoon (Tanzania), kwa riwaya yake, Mungu Hakopeshwi, (Tuzo ya Dola 5,000 za Marekani).

Jacob Ngumbau Julius (Kenya) , kwa diwani yake ya mashairi, Moto wa Kifuu, (Tuzo ya Dola 5,000 za Marekani).

Skip to toolbar